Yu Wapi Brian Odhiambo; Sehemu Ya Mbuga Ya Kitaifa Ya Ziwa Nakuru Yateketezwa

  • | TV 47
    35 views

    Yu Wapi Brian Odhiambo; Sehemu Ya Mbuga Ya Kitaifa Ya Ziwa Nakuru Yateketezwa

    Sehemu ya mbuga ya wanyama ya ziwa Nakuru iliteketezwa moto na waandamanaji waliokuwa na hamaki, walioonyesha ghadhabu yao na kutoweka kwa Brian Odhiambo. Odhiambo ambaye ni mvuvi alidaiwa kukamatwa na maafisa wa huduma ya wanyamapori (KWS).

    #UpeoWaTV47 __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __