Chadema ya Tundu Lissu itakuwa ya aina gani?

  • | BBC Swahili
    1,787 views
    Tundu Lissu amechukua usukani wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema baada ya kumng'oa Freeman Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miongo miwili. Swali ambalo wengi sasa wanajiuliza ni Je, Lissu ataifanyia nini Chadema? Scolar Kisanga anaelezea zaidi #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw