Watu watatu wafariki baada ya kupigwa risasi

  • | Citizen TV
    506 views

    Watu watatu wameuwawa kwa kupigwa risasi katika barabara ya Tot kuelekea Kolowa kwenye mpaka ya kaunti za Elgeyomarakwet na Baringo usiku wa kuamkia leo.