Kenya yatakiwa kujiandaa kukabiliana na ongezeko la virusi vya HIV

  • | Citizen TV
    407 views

    Kenya itakabiliwa na hali ngumu kufuatia tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump kuondoa ufadhili wa Marekani kutoka kwa Shirika la Afya Duniani.