Kiambu: Wafanyabiashara wapunguziwa malipo ya kodi ya biashara zao kwa kiwango cha asilimia 50

  • | NTV Video
    91 views

    Wafanyabiashara kutoka kaunti ya Kiambu wamefurahia kupunguziwa malipo ya kodi ya biashara zao kwa kiwango cha asiliamia 50, na kupewa nafasi ya kulipa leseni hizi kwa awamu mbili kwa mwaka badala ya kulipa mara moja kama ilivyokuwa hapo awali.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya