Serikali yasaka vyuo visivyoafiki viwango

  • | KBC Video
    11 views

    Serikali imeanzisha msako dhidi ya taasisi duni za kiufundi humu nchini. Katibu wa idara ya elimu ya kiufundi, Dr Esther Muoria ametao tahadhari kuhusu viwango vya mafunzo katika taasisi za TVET akisema huenda baadhi ya vyeti vya kufuzu vikafutiliwa mbali ikiwa wanafunzi hawatakuwa wamefunzwa kikamilifu. Muoria amesema serikali haitazembea katika kuhakikisha taasisi zinatoa mafunzo ya hali ya juu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive