Jaji Mkuu anatarajiwa kufafanua iwapo IEBC inaweza kuendelea na uhakiki

  • | TV 47
    36 views

    Mahakama ya Upeo hii leo inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu uratibu wa mipaka.

    Uamuzi huo huenda ukaunda upya mipaka ya uchaguzi nchini.

    Jaji Mkuu anatarajiwa kufafanua iwapo IEBC inaweza kuendelea na uhakiki huo.

    Jumla ya maeneobunge 27 yako kwenye hatari ya kutupiliwa mbali.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __