Koech: Muturi atafutwa karibuni

  • | Citizen TV
    1,202 views

    Shinikizo za kumtaka waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi kujiuzulu zimeendelea huku sasa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi katika bunge la kitaifa Nelson Koech akiwa wa punde kuzungumzia swala hili. Koech sasa akisema kuwa anachotafuta Muturi kitamfikia karibuni. Akizungumza kwenye kipindi cha Daybreak hapa Citizen, Koech ambay pia ni mbunge wa Belgut ameshikilia kuwa Muturi ana muda wa kuhesabu kuendelea kuhudumu serikalini