Viongozi wa Magharibi waunga mkono ajenda ya Ruto, wapuuza matamshi ya Gachagua

  • | NTV Video
    89 views

    Baadhi ya viongozi kutoka sehemu ya Magharibi mwa Kenya, wameunga mkono ajenda ya rais William Ruto katika eneo hilo wakipuuzilia mbali matamshi ya hivi majuzi ya aliyekua naibu wa rais Rigathi Gachagua ambayo wanadai yalilenga kuzua siasa za kikabila na muungano unaotawala kwa njia ya mvutano wa kisiasa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya