Mazishi ya Martin Nzyuka, mmoja wa mateka wa Mlolongo, yaendelea kupangwa Makueni

  • | Citizen TV
    1,784 views

    Familia ya Martin Nzyuko mmoja wa viajana wanne waliotekwa nyara katika eneo la mlolongo mwezi mmoja uliopita imeanza mipango ya mazishi. Haya yanajiri huku viongozi wa eneo la ukambani wakizidi kulaani visa vya utekaji nyara na kuwalaumu mabalozi wa mataifa ya nje humu nchini kwa kunyamazia swala hili la ukiukaji wa haki za kibanadamu.