Joyce Wanjiru ashinda mchuano wa Gofu wa kinadada taji la mwenyekiti Muthaiga

  • | NTV Video
    131 views

    Joyce Wanjiru ndiye mshindi wa jumla wa mchuano wa Gofu wa kinadada wa kuwania taji la mwenyekiti uliofanyika uwanja wa klabu ya Muthaiga hapa jijini Nairobi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya