Daktari afikishwa mahakamani kwa tuhuma za ubakaji

  • | Citizen TV
    2,249 views

    Daktari mmoja mjini Mombasa amefikishwa mahakamani mjini humo akituhumiwa kumbaka mgonjwa wa figo kwenye wodi ya hospitali ya Pandya. Dias Juma Wambile akishtakiwa kwa kumbaka mwanamke huyo wa miaka 30 alipofika kusafishwa figo.