Mwili wa mwanamume ulipatikana barabarani, Namanga

  • | Citizen TV
    1,949 views

    Hali ya taharuki ilitanda katika mzunguko wa barabara kuu ya Namanga baada ya mwili wa mwanaume kupatikana ukiwa umefungwa miguu kwa shati na wenye majeraha. Mwili huo ulipatikana na wapita njia katika mkondo wa maji ulioko kwenye mzunguko huo. Shughuli ya upasuaji wa maiti imeanza ili kuutambua mwili huo.