Wakenya wauliza Waziri Mbadi maswali kuhusu hali ya uchumi

  • | Citizen TV
    1,825 views

    Wakenya walitumia fursa ya mkutano wao na waziri wa fedha John Mbadi katika uwanja wa jevanjee leo, kueleza ghadhabu zao kuhusu ushuru ambao wanakatwa na fedha hizo zinavyotumika. Katika mkutano huo wanachama wa bunge la wananchi, mbadi alisema serikali haitaongeza ushuru zaidi kwa wafanyakazi,.