Wakenya kuanza kukabidhiwa nyumba za gharama nafuu

  • | KBC Video
    875 views

    Serikali iko tayari kukabidhi nyumba zilizokamilika za mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu huko Mukuru, katika kipindi cha miezi miwili ijayo. Miongoni mwa watakaonufaika na mradi huo ni Milkah Moraa, ambaye ni mwanamke iliyeangaziwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuaibishwa na mhubiri mmoja kwenye runinga hapa nchini alipoomba msaada ili kulipa ada ya nyumba, majuma mawili yaliyopita. Nyumba hizo zitakabidhiwa na rais William Ruto.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News