Wanafunzi wa vyuo vikuu waandamana Nairobi

  • | KBC Video
    58 views

    Polisi leo walilazimika kutumia vitoza machozi kuwatawanya kundi la wanafunzi ambao waliandamana hadi afisi za bodi ya mikopo na ufadhili wa elimu ya juu kuelezea kero zao kuhusiana na ucheleweshwaji wa utoaji wa mikopo ya wanafunzi. Wakati uo huo, mgomo wa wahadhiri katika chuo kikuu cha Technical hapa nchini ulivuruga usimamizi wa mitihani. Haya yanajiri huku serikali ikitangaza kuwa imetoa shilingi bilioni 21 kwa bodi hiyo ili kutokewa kwa wanafunzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive