Jaji Mohammed Noor Kullow aondolewa lawama

  • | KBC Video
    344 views

    Jopo linalomchunguza jaji wa mahakama ya kushughulikia kesi za masuala ya mazingira na ardhi Mohammed Noor Kullow limetupilia mbali tuhuma zote dhidi yake. Likiwasilisha ripoti yake kwa Rais, jopo hilo, lililoongozwa na jaji Patrick Omwenga Kiage, lilipendekeza arejeshwe kazini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive