- 173 viewsUtawala wa Trump Jumapili umeendelea kuelezea sababu na haja ya kuweka ushuru kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka Canada, China na Mexico. Nchi hizi tatu zimetishia hatua za majibu, lakini zinasema kuwa bado ziko wazi kwa majadiliano na ushirikiano na Marekani. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Trump aziwekea ushuru bidhaa kutoka Canada, China na Mexico.
- 5 Feb 2025 - Government Spokesperson Isaac Mwaura on Wednesday said the operations of the Kenya-led multinational security support mission in Haiti won’t be jeopardised after the United States froze its financial contributions to the force’s United Nations fund.
- 5 Feb 2025 - Doctors at Moi Teaching and Referral Hospital (MTRH) in Eldoret have commenced industrial action after failure by the management to address their grievances that were not implemented in the Collective Bargaining Agreement (CBA).
- 5 Feb 2025 - Goma, which fell to M23 fighters and the Rwandan military last week, has become a symbol of the conflict that has ripped apart the eastern Democratic Republic of Congo over three decades.
- 5 Feb 2025 - Wild monkeys egged on by YouTubers have been rampaging at Cambodia's famed Angkor Wat complex, attacking tourists, wrecking temple stonework and damaging information boards, officials said Wednesday.
- 5 Feb 2025 - Palestinian militant group Hamas lashed out Wednesday at President Donald Trump's shock proposal for the United States to take over the Gaza Strip and resettle its people in other countries, seemingly whether they want to leave or not.
- 5 Feb 2025 - Thirty-eight minutes into her last year interview on the Kenyan podcast Cleaning the Airwaves (CTA), Narc Kenya party leader Martha Karua bursts into laughter while sharing a childhood story.
- 5 Feb 2025 - Racehorse billionaire and Islamic spiritual leader the Aga Khan died on Tuesday aged 88, leaving millions of followers in mourning across the world.
- 5 Feb 2025 - Over the past weeks, many African countries have faced dire consequences due to the policies introduced by US President Donald Trump since his inauguration last month.
- 5 Feb 2025 - Former Nairobi Regional Commander Adamson Bungei has denied any involvement in the alleged police killings that occurred during the Gen Z protests on July 20, 2025.
- 5 Feb 2025 - Former Nairobi Regional Commander Adamson Bungei has denied any involvement in the alleged police killings that occurred during the Gen Z protests on July 20, 2025.