- 159 viewsWakati Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, anajiandaa kuja Washington kukutana na Rais Donald Trump, Hamas iliwaachilia mateka wengine watatu wa Israel, wakiwemo raia wawili wa Marekani baada ya kushikiliwa kwa takriban miezi 16, na Israel iliwaachilia huru dazeni ya wafungwa wa Kipalestina. Awamu inayofuata ya sitisho la vita vya Gaza inatarajiwa kuwa katika ajenda za wawili hao watakapokutana Jumanne. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Netanyahu kufanya ziara Washington | VOA Swahili
- - Duniani Leo ››
- 4 Apr 2025 - Gaza's civil defence agency said at least 25 people were killed Thursday in an Israeli air strike on a school serving as a shelter for people displaced by the war.
- 4 Apr 2025 - Kenya’s exporters are bracing for the impact of a new 10 per cent tariff imposed by the United States (U.S.) under President Donald Trump’s sweeping protectionist agenda. The levy, part of Trump’s “Freedom Day” trade overhaul, raises the cost of Kenyan…
- 4 Apr 2025 - Extreme heat and heavy rain in Myanmar could cause disease outbreaks among earthquake survivors camping in the open, global aid bodies warned on Thursday, complicating rescue efforts made difficult by a civil war, as the death toll surpassed 3,000.
- 4 Apr 2025 - Uganda's President Yoweri Museveni arrived in neighbouring South Sudan on Thursday, in the highest level mission there since clashes and the detention of the vice president triggered regional fears of a return to civil war.
- 4 Apr 2025 - East African Breweries Limited (EABL) has tightened its grip on Uganda Breweries Limited (UBL) by increasing its stake to 98.32 per cent. This move marks a significant milestone in EABL’s continued expansion and consolidation across the East African…
- 4 Apr 2025 - Are you unsure which university offers your dream course? The Commission for University Education (CUE) has published an updated list of accredited institutions and academic programmes. With only 17 days remaining before the Kenya Universities and…
- 4 Apr 2025 - CUE's list will ease the verification process for students and also ensure they make informed choices ahead of the April 21 KUCCPS deadline The post CUE updates list of accredited degree programmes, universities appeared first on KBC Digital .
- » Kenyan woman arrested at Indian airport with cocaine worth Ksh.271M says she was promised Ksh.100K4 Apr 2025 - A 43-year-old Kenyan woman is currently being detained by authorities in India for attempting to smuggle cocaine worth Ksh.271.4 million into the South Asian nation.
- 4 Apr 2025 - Upper Hill yearn to make fruitful return to national stage
- 4 Apr 2025 - Remove barriers keeping women and girls off STEM field