Wakaazi wanaoishi eneo la Mpakani wanalalamika

  • | Citizen TV
    118 views

    Wakazi wasio na ardhi katika shamba la Chepchoina, mpakani mwa Kaunti za West Pokot na Trans-Nzoia, wanapinga vikali maafisa wa serikali, matajiri na watu mashuhuri wanaofaidika na ardhi hiyo