Apungua kilo 125 ndani ya miezi 10.

  • | BBC Swahili
    572 views
    Qudratullah wa Afghanistan alikuwa na uzito wa kilo 216, lakini sasa ana kilo 91. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 23 ana lengo la kupunguza tena kilo 15 nyingine Anasema kuwa alikuwa mnene kiasi cha kushindwa hata kukaa kwenye viti na meza za chuo na pia ilimpa ugumu kutembea #bbcswahili #afghanstan #uzitomkubwa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw