Rais Trump amesitisha ufadhili wa dola 13m kwa siku tisaini

  • | Citizen TV
    1,492 views

    Zaidi ya dola milioni 13 za ufadhili unaotolewa na Marekani kwenye operesheni ya kiusalama ya kimataifa ya kupambana na magenge ya Haiti umesitishwa kwa muda wa siku 90