Kudhibiti Saratani: Uhaba wa dawa wakithiri hospitali ya KUTRRH

  • | KBC Video
    6 views

    Wakenya wamehimizwa kujitokeza kwa uchunguzi wa mapema wa ugonjwa wa saratani ya mlango wa uzazi ili kufanikisha matibabu na udhibiti wa ugonjwa huo. Madaktari katika hospitali ya mafunzo na matibabu maalum ya chuo kikuu cha Kenyatta wanasisitiza umuhimu wa upimaji wa mapema huku ulimwengu ukianza wiki ya kuangazia ugonjwa wa saratani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive