Wafanyabiashara Ilbisil walazimika kufunga biashara

  • | KBC Video
    4 views

    Wakazi wa mji wa Ilbisil kaunti ya Kajiado wametoa wito kwa serikali ya kitaifa na ile ya kaunti hiyo kurekebisha taa za barabarani zilizoharabika ili kudhibiti visa utovu wa usalama katika eneo hilo. Wakazi hao wamesema kuwa ukosefu wa taa hizo umechochea visa vya wizi katika wiki mbili zilizopita huku wakazi wakifunga biashara kwa kuhofia usalama wao. Pia wanahimiza serikali ya kaunti hiyo kukumbatia mbinu ya kukikataa taa zinazotumia kawi ya jua

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive