Hatima ya watu zaidi ya milioni Moja ndani ya Gaza ni ipi?

  • | BBC Swahili
    1,107 views
    Hatima ya watu zaidi ya milioni Moja ndani ya Gaza haijulikani baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza mpango wa kuichukua Gaza ili kuijenga upya. Kwa mengi zaidi ni katika Dira ya Dunia Tv na Roncliffe Odit saa tatu usiku saa za Afrika mashariki Kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC News Swahili #bbcswahili #diratv #gaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw