Wanafunzi wengi hawamakiniki katika masomo ya hisabati, uchunguzi wafichua

  • | KBC Video
    22 views

    Uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa katika kaunti ya Bungoma umefichua kuwa wanafunzi wengi humu nchini hawamakiniki katika masomo ya hisabati. Utafiti huo wa mashirika ya kutetea haki ya elimu, Zizi Afrique na Usawa Agenda kwa ushirikiano na wizara ya elimu umefichua haja ya kuwapa walimu ujuzi wa kufundisha hisabati na masomo mengine ya kiufundi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive