Mudavadi amemsuta Kalonzo kwa matamshi yake kuhusu hatua za Rais Ruto DRC

  • | NTV Video
    1,838 views

    Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi amemsuta kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka kwa matamshi yake kwamba hatua alizochukua Rais William Ruto zimezidisha mzozo katika nchi ya DRC.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya