Biashara I Wamiliki ardhi jiji la Konza watakiwa kuistawisha

  • | KBC Video
    68 views

    Wawekezaji waliopewa vipande vya ardhi katika eneo la kiteknolojia la Konza wamepewa miezi 18 kustawisha ardhi hizo au zitwaliwe. Waziri wa ardhi, Esther Wahome amesema eneo la Konza sio mradi wa kubahatisha, hivyo wale ambao hawatastawisha ardhi zao zitachukuliwa na kukabidhiwa wastawishaji wengine waliojitolea. Taarifa kamili ni katika mkusanyiko wa habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive