- 101 viewsWakati hatua ya kwanza ya sitisho la mapigano kati ya Israel na Hamas imeanza kutekelezwa, maelfu ya Wapalestina wamerejea kaskazini mwa Gaza. Lakini wengi wamekutana nyumba zao zimeharibiwa kabisa. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Maelfu ya Wapalestina warejea Kaskazini mwa Gaza | VOA Swahili
- - Duniani Leo ››
- 6 Feb 2025 - U.S. President Donald Trump said on Monday he wanted Ukraine to supply the country with rare earths in return for financially supporting Kyiv's war effort against Russia.
- 6 Feb 2025 - Activist Bob Njagi, one of the three people abducted in Kitengela in August last year claims that the missing Wajir Member of County Assembly Yussuf Hussein Ahmed was held in their room.
- 6 Feb 2025 - Human rights activist Bob Njagi, who was abducted by suspected government agents in August 2024 and held in captivity for 32 days, has sent a direct warning to one of his alleged captors, known only as 'Chairman,' warning that justice will soon catch up…
- 6 Feb 2025 - The Gaza Strip, devastated by 15 months of war between Hamas and Israel, is a Palestinian territory under Israeli blockade since 2007.
- 6 Feb 2025 - Scores of patients seeking minor and critical services at Moi Teaching and Referral Hospital (MTRH) in Eldoret were turned away following the industrial action called by medical doctors yesterday. The more than 200 doctors are protesting the failure by…
- 6 Feb 2025 - Leaders drawn from North Eastern Kenya have lauded the move by President William Ruto to abolish vetting process for individuals seeking identification documents in the region. Led by Environment Cabinet Secretary Aden Duale, the leaders noted that the…
- 6 Feb 2025 - More than 100 female prisoners were raped and then burned alive during a jailbreak in the Congolese city of Goma, according to the UN. Hundreds of prisoners broke out of Munzenze prison last Monday, after fighters from the M23 rebel group began to take…
- 6 Feb 2025 - President Donald Trump's decision to freeze foreign assistance has sent aid staff in Africa into "panic mode", with even HIV experimental treatment programmes stopped dead in their tracks.
- 6 Feb 2025 - President Donald Trump's proposal for the U.S. to take over war-torn Gaza and create a "Riviera of the Middle East" after resettling Palestinians elsewhere has shattered U.S. policy on the Israeli-Palestinian conflict, sparking widespread condemnation.
- 6 Feb 2025 - A finance executive officer yesterday narrated to a court how she was conned of Sh7.6 million by a Kamiti Maximum prison convict who was also working in cahoots with his mother in Lang’ata Women Prison. Purity Karambu, in her testimony before the…