Mzozo wa DRC: Msongamano katika vyumba vya kuhifadhia maiti

  • | BBC Swahili
    712 views
    Msongamano katika vyumba vya kuhifadhia maiti, ukosefu wa majokofu na uhaba wa ardhi ya kuwazika waliouawa kuna hatarisha magonjwa DRC Takriban watu 3,000 wanaripotiwa kuuawa katika vita kati ya waasi wa M23 na jeshi mashariki mwa DRC. Mashirika ya misaada yanasema kuwa kuna haja ya haraka ya kuzika waliouawa kwa sababu vyumba vya kuhifadhia maiti vimejaa na hakuna majokofu kutokana na njia za umeme kuharibika. #bbcswahili #DRC #M23 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw