Amani yetu nguzo yetu : Wito wa kuishi kwa amani waendelea kutolewa

  • | KBC Video
    36 views

    Jamii ya Dir katika kaunti ya Mandera imekubaliana kwa kauli moja kuishi pamoja kwa amani na umoja kama njia moja ya kudumisha mustakabali mwema wa siku za usoni. Akiongea wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti wa jamii ya Dir, wazee hao waliwahimiza wana jamii hiyo kujiepusha na migawanyiko na kuzingatia mahusiano bora baina ya jamii kuhakikisha uthabiti wa kudumu katika kaunti hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive