Gavana Barchok Azuiliwa Katika Ofisi Za EACC Nakuru Kwa Madai Ya Ufujaji Wa Pesa Za Umma

  • | TV 47
    275 views

    Gavana Barchok Azuiliwa Katika Ofisi Za EACC Nakuru Kwa Madai Ya Ufujaji Wa Pesa Za Umma Shilingi Milioni 373.

    Gavana wa Bomet Hillary Barchok amekamatwa na maafisa kutoka tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC mapema leo asubuhi. Gavana Barchok amekamatwa kwa tuhuma za ufujaji wa pesa za umma shilingi milioni 373.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __