Rais Ruto awakashifu wanaopinga chanjo ya mifugo nchini

  • | Citizen TV
    2,477 views

    Rais William Ruto sasa anawataja wanaopinga chanjo ya mifugo nchini kuwa watu wajinga akisema wengi wanaopinga hawana ujuzi wowote. Rais aliyeonekana kurusha cheche za matusi zaidi kwa wanaopinga chanjo hiyo amejipiga kifua kwa kiwango cha elimu yake akisema wanaomkosoa hawana akili timamu.