Chama cha KUPPET chataka fedha zitolewe mara moja za matibabu ya walimu

  • | KBC Video
    8 views

    Chama cha walimu wa shule za upili na vyuo nchini- KUPPET kinataka wizara ya fedha kutoa mara moja pesa za bima ya matibabu ya walimu . Akihutubia wanahabari leo jijini Nairobi,kaimu katibu mkuu wa chama cha KUPPET Moses Nthurima alisema wanachama wao hawawezi kupata huduma hizo muhimu katika hospitali zilizoidhinishwa kutokana na deni la shilingi bilioni-11.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive