Mchakato wa Amani DRC I Uhuru Kenyatta asema mapendekezo yake hayakuzingatiwa

  • | KBC Video
    1,058 views

    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, amesema mapendekezo yake kuhusu mchakato wa amani kuhusu mzozo unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hayakutiliwa maanani. Akionekana kujibu shutuma kutoka Rais wa Rwanda Paul Kagame , Uhuru alisema mchakato huo ulikabiliwa na changamoto nyingi za kimsingi na vile vile hujuma .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive