Mahakama : Kuzuia maandamano katikati ya jiji la Nairobi ni kinyume cha katiba

  • | KBC Video
    459 views

    Mahakama kuu ya Milimani imeamua kwamba agizo la rais William Ruto la kubuni jopokazi la kushughulikia masuala ya wafanyikazi katika sekta ya afya lilikuwa kinyume cha katiba. Mahakama iyo hiyo kupitia kwa jaji Bahati Mwamuye imetoa uamuzi kwamba hatua ya kuzuia maandamano katikati ya jiji la Nairobi ni kinyume cha katiba, ikisema uamuzi huo ulishindwa kufikia kigezo cha katiba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive