- 18,300 viewsKundi la waasi la M23 limeandaa mkutano wa kisiasa katika mji wa Goma waliouteka wiki jana. Umati mkubwa wa watu ulihudhuria mkutano huo wa hadhara na kufunga barabara zote zinazoelekea kwenye uwanja wa michezo wa Unity. Wakuu wa kundi hilo walihutubia mkutano huo, siku moja tu baada ya kutangaza serikali mpya ya jimbo la Kivu Kaskazini. Pia kumekuwa na mkutano mkubwa wa kanisa jijini Kinshasa unaolenga kutafuta suluhu la kidiplomasia na kisiasa kwenye mzozo wa mashariki mwa Congo.
M23 waandaa mkutano Goma
- - 🔴LIVE | TV47 MATUKIO ››
- 7 Feb 2025 - An Israeli military court sentenced a soldier to seven months in prison after he admitted to "severely abusing" Palestinians at a detention facility near the border with Gaza, the army said Thursday.
- 7 Feb 2025 - Court proceedings at the Nakuru Law Courts were on Thursday disrupted for several hours as family and friends of missing fisherman Brian Odhiambo caused chaos to protest the dismissal of his alleged disappearance case.
- 7 Feb 2025 - Barchok arrested as audit reveals Sh1.4 billion graft scandal in Bomet
- 7 Feb 2025 - Uhuru: Rwanda, DRC hold key to Goma deadlock
- 7 Feb 2025 - Legal battle over city parking lot concluded with Sh107m payout
- 7 Feb 2025 - Duale reflects on highs and lows as Cabinet Secretary
- 7 Feb 2025 - Ruto's taskforce on health illegal, High Court rules
- 7 Feb 2025 - Funeral ceremony for His Highness the Aga Khan to take place on Saturday in Lisbon, Portugal.
- 7 Feb 2025 - The conference is expected to boost tourism and innovation.
- 7 Feb 2025 - Mboya argues that Ruto appointed Oloo as a strategy and communications advisor in the Office of the President in a circular dated December 20, 2024.