Wazazi washauriwa kuasi shughuli za ukeketaji katika kaunti za Kisii na Nyamira

  • | Citizen TV
    24 views

    Washikadau mbalimbali wakiwemo viongozi katika bunge la kaunti ya Kisii sasa wanatoa wito kwa watu wote kushirikiana kupiga vita ukeketaji wa mtoto msichana unaofanywa siku hizi kwa njia ya siri.