Mzozo DRC: SADC na EAC kukutana Tanzania kutaleta matunda?

  • | BBC Swahili
    3,274 views
    Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki na zile za Kusini mwa Afrika wanakutana jijini Dar es Salaam leo hii kujaribu kutafuta suluhu ya mzozo unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wengi wanasubiria kuona kwa kiasi gani jumuiya hizi mbili zitafanikiwa kudhibiti mapigano na kurejesha usalama na huduma za msingi za wananchi huko Mashariki mwa Kongo. Je watafanikiwa? @sammyawami anaelezea 🎥: @bosha_nyanje - - - #bbcswahili #DRC #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw