Familia yaalilia haki baada ya mpendwa wao kupotea Disemba mwaka jana Kakamega

  • | K24 Video
    9 views

    Familia moja katika eneo bunge la Butere kaunti ya Kakamega inalilia haki baada ya mpendwa wao kupotea Disemba mwaka jana asijulikane aliko hadi sasa, huku visa vya utekaji nyara vikionekana kukithiri nchini, wanahofia kuwa huenda alitekwa nyara, kuteswa au hata kuuawa. Wanachosisitiza familia ni jamaa wao awasilishwe akiwa hai au maiti badala ya kuishi na hofu ya wasichokifahamu.