- 494 viewsMaonyesho ya kimataifa ya magari yamefanyika mjini Washington DC katika ukumbi wa Walter E. Washington na kuvutia wadau mbalimbali, wakiwemo wabunifu wa teknolojia za kisasa na wadau wengine kutoka kote duniani. Sunday Shomari alihudhuria maonyesho hayo na kuandaa ripoti ifuatayo. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Maonyesho ya magari Washington DC yavutia wabunifu wa teknolojia za kisasa
- 10 Feb 2025 - The government has reaffirmed its commitment to combating doping and age cheating in a bid to uphold Kenya’s reputation in global sports. Speaking at the National Cross Country Championships in Eldoret, Sports Cabinet Secretary Salim Mvurya emphasised…
- 10 Feb 2025 - The formation of a new Sudanese government is expected to happen after the recapture of Khartoum is completed, military sources told Reuters on Sunday, a day after army head Abdel Fattah al-Burhan said he would form a technocratic wartime government.
- » Gor Mahia’s comeback under new tactician puts pressure on Kenya Police and Tusker as title race heats up10 Feb 2025 - Gor Mahia reduced the gap to four points between them and the joint FKF Premier League leaders, Kenya Police FC and Tusker FC, following a hard-fought 2-1 win against Mathare United at Kenyatta Stadium in Machakos on Saturday. The outcome marked a…
- 10 Feb 2025 - The township of Fateng Tse Ntsho houses some 7,000 Black South Africans, its huddle of corrugated metal roofs surrounded on all sides by vast tracts of mostly empty grassland owned by prosperous white farmers.
- 10 Feb 2025 - Rigathi Gachagua: we must speak in unison for the sake of the nation
- 10 Feb 2025 - Trump is on a mission to reorganise United States, world to his liking
- 10 Feb 2025 - The impact of the drastic changes carried out by President Donald Trump's administration on the US Agency for International Development (USAID), continues to be felt in Kenya and beyond.
- 10 Feb 2025 - In a statement issued on Sunday, the agency admitted that its digital platforms had been compromised, but assured the public that full access had been restored.
- 10 Feb 2025 - Gachagua spoke to vernacular stations from his Wamunyoro home on Sunday evening, framing his statement as a "interim report" on the country's political climate and the changing dynamics of the vote-rich Mt. Kenya region.
- 10 Feb 2025 - The US has been mining tonnes of intelligence from Kenya, including mapping mineral resources, while only grudgingly sharing crumbs