Sayari ya 2024 YR4 kugonga dunia ifikapo mwaka 2032

  • | BBC Swahili
    878 views
    Kuna uwezekano kwamba sayari ndogo inayoitwa 2024 YR4 inaweza kugonga dunia ifikapo mwaka 2032. Inadhaniwa kuwa itakapo gonga itakuwa na nguvu kama ya bomu la nyuklia lakini uwezekano wa sayari hiyo kugonga Dunia kwa sasa inafikiriwa kuwa 1.3%. #bbcswahili #sayansi #2024YR4 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw