Watu wenye ulemavu wapokea vifaa vya kimatibabu

  • | KBC Video
    6 views

    Watu walio na ulemavu wa ngozi katika kaunti ya Kajiado wamenufaika na msaada wa vifaa mbali mbali vya kimatibabu kwa hisani ya baraza la kitaifa la watu walio na ulemavu. Kaimu mkurugenzi mkuu wa baraza hilo, Eva Njoroge amesema wataanzisha mpango wa kutoa vifaa kwa watu walio na ulemavu wa ngozi katika sehemu nyingine za humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive