Wanafunzi vyuoni wahimizwa kujihami ipasavyo

  • | KBC Video
    18 views

    Wanafunzi wa vyuo vikuu wamehimizwa kukumbatia teknolojia ibuka ili kuwa katika nafasi nzuri ya kupata ajira. Wakichangia kwenye mdahalo wa umma katika chuo kikuu cha Zetech eneo la Ruiru, wasomi walikariri kushirikishwa kwa teknolojia mpya katika shughuli za kila siku ili kubuni fursa mpya kwa vijana na kuimarisha ushindani na uwezo wao kwenye ubunifu wa kiteknolojia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive