Kundi la wanamziki latoa hamasa kupitia muziki

  • | KBC Video
    18 views

    Vuguvugu la kipekee linalotumia muziki kutoa uhamasisho kuhusu uhifadhi wa mazingira limepata umaarufu katika eneo la Malindi kaunti ya Kilifi. Bendi hiyo ya muziki inahuhisisha vifaa taka zilizohuhishwa kutengeneza ala za muziki na hivyo kuchangia katika uhifadhi wa mazingira

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive