Wakaazi wa Cheteni Debwe kaunti ya Kwale walalama

  • | Citizen TV
    106 views

    Wakaazi wa Cheteni Debwe eneo la Diani na Tiwi kaunti ya Kwale wametishia kurejea kwenye ardhi waliofurushwa mwaka 2021 na kuanza shughuli za kilimo