Wizara ya maswala ya vijana na michezo nchini yapeana viti 8,000 na goli mpya Kwale

  • | Citizen TV
    403 views

    Katika juhudi za kuboresha uwanja wa kaunti ya Kwale, wizara ya maswala ya vijana na michezo nchini imepeana viti elfu nane na goli mpya za kisasa kuezekwa katika uwanja huo