Wakazi wa Kerugoya wawavamia washukiwa wa wizi

  • | Citizen TV
    901 views

    Washukiwa wanne wa wizi wa duka moja la mpesa mjini Kerugoya walikamatwa na gari lao kuteketezwa na wakazi wenye ghadhabu. Mmoja wa washukiwa aliyeshambuliwa na wakazi anaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya kerugoya huku wenzake watatu wakifikishwa katika kituo cha polisi cha Kerugoya