Hafla ya maombi ya Raila yafanyika Kisumu

  • | K24 Video
    35 views

    Maombi na imani ya kumsukuma mgombeaji wa uenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika AUC yamepamba moto huku viongozi wa dini, na wanasiasa wakiandaa maombi hayo kaunti ya Kisumu .Viongozi wa dini wana imani kuwa kama walivyomuombea aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama kabla ya kuchaguliwa kuwa rais, pia ilikuwa muhimu odinga kuombewa kabla ya uchaguzi unaofanyika siku tatu kutoka leo