Mamlaka ya mawasiliano nchini yatoa onyo kali kwa vijana wanaotumia mitandao vibaya

  • | K24 Video
    28 views

    Mamlaka ya mawasiliano nchini Kenya (CAK) imetoa onyo kali kwa vijana wanaotumia mitandao vibaya hasa katika kuikosoa serikali. CAK imebainisha kuwa taifa limerekodi visa vya vitisho vya mtandaoni bilioni 3.5, huku bilioni 1.5 vikishuhudiwa katika kipindi cha miezi sita iliyopita. Sasa CAK inasisitiza pana haja ya kuimarisha hatua za usalama wa mtandao ili kuwalinda wakenya dhidi ya hatari za kidijitali.